Dkt. Edward Kija kutoka MUHAS akitoa hotuba kuu (Keynote Address) kuhusu mada ya “Magonjwa Adimu: Zaidi ya Unavyoweza Kufikiria” wakati wa kongamano la kisayansi lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS
Washiriki wa Kongamano la Kisayansi la Magonjwa Adimu wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo.
Washiriki wa Kongamano la Kisayansi la Magonjwa Adimu wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo.
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe, akishuhudia Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Emmanuel Balandya, akipokea hundi ya shilingi milioni 100 kutoka kwa Ali Kimara Rare Diseases Foundation. Msaada huo unalenga kuimarisha tafiti za kisayansi katika mapambano dhidi ya magonjwa adimu nchini.
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Emmanuel Balandya na Mwanzilishi Mwenza wa Ali Kimara Rare Disease Foundation, Sharifa Mbarak wakionesha mikataba mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yatakayolenga kuimarisha jitihada za utafiti, elimu na utoaji huduma katika mapambano dhidi ya magonjwa adimu
Mganga Mkuu wa Serikali kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) pamoja na jopo la wataalamu walioongoza mjadala katika Kongamano la Kisayansi kuhusu Magonjwa Adimu lililofanyika chuoni hapo.
Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa neno la ukaribisho katika sherehe ya ufungaji wa Wiki wa Ubunifu iliyofanyika chuo hapo
Washiriki wakifuatilia kwa makini sherehe ya ufungaji wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika katika Chuo cha MUHAS, tukio lililowakutanisha wabunifu, watafiti na wanafunzi kuonesha mawazo na bunifu zinazochochea maendeleo katika sekta ya afya na sayansi
Washiriki wakifuatilia kwa makini sherehe ya ufungaji wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika katika Chuo cha MUHAS
Prof. David Ngassapa, mwandishi wa vitabu vya Anatomia, akionesha moja ya vitabu vyake mara baada ya kuzinduliwa rasmi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar, wakati wa Wiki ya Ubunifu MUHAS. Tukio hilo linaonesha mchango wa wataalamu wa MUHAS katika kuendeleza elimu na ubunifu katika sekta ya afya.
Makamu Mkuu wa Chuo, MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa, pamoja na Mkurugenzi wa CRDB Foundation, Ms. Tully Mwambapa, wakionesha mkataba mara baada ya kusaini makubaliano ya kushirikiana kuwezesha na kuendeleza bunifu za wanafunzi wa MUHAS, hatua inayolenga kuimarisha ubunifu, utafiti na suluhisho za kisayansi katika sekta ya afya
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Omar akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu, Mkurugenzi wa CRDB Bank, na Uongozi wa MUHAS mara baada ya kufunga Wiki ya Ubunifu MUHAS iliyofanyika chuoni hapo.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Omar akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakurugeni, Wakuu wa Skuli mara baada ya kufunga Wiki ya Ubunifu MUHAS iliyofanyika chuoni MUHAS
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Tafiti na Ushauri wa Kitaaluma), Prof. Bruno Sunguya, akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Bunifu pamoja na wabunifu kutoka MUHAS mara baada ya kutembelea mabanda ya wabunifu wakati wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika chuoni hapo.
Wadau wa Ubunifu walioshiriki katika Wiki ya Ubunifu MUHAS wakionesha bidhaa zao kwa wananchi waliotembelea banda lao
Mwanafunzi mbunifu kutoka MUHAS akielezea ubunifu wake kwa wageni waliotembelea banda la Chuo wakati wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika chuoni hapo
Wananchi wakipata maelezo kuhusu bidhaa zinazotengenezwa na Taasisi ya Dawa Asili wakati wa Wiki ya Ubunifu MUHAS
Mwanafunzi mbunifu kutoka MUHAS akielezea ubunifu wake kwa wageni waliotembelea banda la Chuo wakati wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika chuoni hapo
Previous slide
Next slide

STUDY AT MUHAS