Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa taarifa ya ujenzi wa Ndaki ya Tiba, Mloganzila kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kabla ya kuweka jiwe la msingi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na wageni waalikwa wakifurahi baada ya kuweka jiwe la msingi la majengo ya Ndaki ya Tiba katika Kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa hotuba katika Kongamano la kwanza la kumuenzi Mkuu wa Chuo wa kwanza MUHAS, hayati Ali Hassan Mwinyi lililofanyika kampasi ya Mloganzila
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipokea vazi maalum alilokuwa anatumia Mkuu wa Chuo wa Kwanza MUHAS, Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati wa mahafali
Kongamano la kumuenzi aliyekuwa Mkuu wa Chuo wa kwanza na Rais wa Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo wa kwanza MUHAS, Prof. Kisali Palangyo akipokea tuzo ya shukrani kutoka kwa mhe Dkt. Ali Hassan Mwinyi kwa mchango wake mkubwaa katika kukifanikisha chuo
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akifungua kambi maalum ya upimaji ya afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Mtaalamu wa kutoka MUHAS akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza katika kambi ya upimaji wa afya bure iliyofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akiongea na wananchi waliojitokeza katika kambi ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Mwananchi akipata huduma ya uchunguzi wa macho katika kampasi ya Mloganzila
Mtaalamu kutoka MUHAS akitoa huduma ya uchunguzi wa meno kwa wananchi wakati wa kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo akiangalia huduma zinavyotolewa wakati wa ufunguzi wa kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi,Dkt. Ferdinand Machibya akitoa hotuba yake wakati wa ufunfuzi wa kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Wananchi waliojitokeza katika kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika Mloganzila
Previous slide
Next slide

STUDY AT MUHAS