Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akifungua rasmi Kongamano la 13 La Kisayansi la MUHAS lililofanyika tarehe 18 mpaka 19 Juni 2025 katika Kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa salamu za ukaribisho katika Kongamano la 13 la Sayansi la MUHAS lililofanyika katika Kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika Kongamano la 13 la Kisayansi la MUHAS katika Kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika Kongamano la 13 la Kisayansi la MUHAS lililofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Maonesho ya tafiti kwa nyia ya mabango katika Kongamano la 13 la Kisayansi la MUHAS lillofanyika tarehe 18 mpaka 19 Juni 2025 katika Kampasi ya Mloganzila
Maonesho ya matokeo ya tafiti kwa njia ya mabango katika Kongamano la 13 la Kisayansi la MUHAS lililofanyika katika Kampasi ya Mloganzila
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi kutoka serikali na MUHAS katika Kongamano la 13 La Kisayansi la MUHAS lililofanyika katika Kampasi ya Mloganzila
Mkuu wa Skuli ya Kinywa na Meno MUHAS, akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi kutoka Kampuni ya Foshan DYM ilyoko nchini China na Madaktari kutoka Shule ya Kinywa na Meno mara baada ya kukabidhiwa viti maalum vya kutolea huduma za afya ya kinywa na meno na kampuni ya Foshan
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa salamu za ukaribisho kabla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mradi wa Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu Afrika Mashariki, Kampasi ya Mloganzila
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akifungua rasmi awamu ya pili ya mradi wa Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu Afrika Mashariki
Wageni waalikwa katika ufunguzi wa awamu ya piliya mradi wa Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu Afrika Mashariki, Kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika ufunguzi wa awamu ya pili ya Mradi wa Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo ya Mishipa ya Damu Afrika Mashariki, Kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika ufunguzi wa awamu ya pili ya mradi wa Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu Afrika Mashariki, Kampasi ya Mloganzila
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Viongozi wakifurahia jambo katika sherehe za ufunguzi wa awamu ya pili ya mradi wa kituo cha Umahiri cha Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu Afrika Mashariki, Kampasi ya Mloganzila
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo, Prof. David Mwakyusa , Mwakilishi kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika na Wakurugenzi , Wakuu wa skuli, idara na vitengo baada ya sherehe ya ufunguzi
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akifungua rasmi kambi maalum ya uchunguzi wa Magojwa ya moyo iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Wananchi waliojitokeza kupata huduma ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo, kampasi ya Mloganzila
Wananchi wakipata huduma katika kambi ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila
Mwananchi akipata huduma katika kambi maalum ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo iliyofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akiwa katika chumba za mazoezi ( Gym) inayopatikana katika Kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akiwaonyesha waandishi vifaa vinavyopatikana katika chumba cha mazoezi wakati walipotembelea kampasi ya Mloganzila
Baadhi ya vifaa vinavyopatikana katika chumba za mazoezi ( Gym) iliyopo kampasi ya Mloganzila
Baadhi ya vifaa vinavyopatikana katika chumba cha mazoezi ( Gym) Kampasi ya Mloganzila
Mtaalamu wa macho kutoka MUHAS, Sayada Sachedina akifanya upasuaji katika kambi ya uchunguzi na matibabu iliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya Msoga, Chalinze
Daktari Bingwa wa Macho kutoka MUHAS, Dkt. Celina Mhina akifanya uchunguzi wa macho kwa mwananchi wakati wa kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya mamcho iliyofanyika Msoga
Daktari Bingwa wa Macho kutoka MUHAS, Dkt. Nelson Swai akitoa huduma kwa wananchi wakati wa kambi ya uchunguzi na matibabu iliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya Msoga, Chalinze
Wananchi waliojotokeza kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya macho iliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya Msoga, Chalinze
Wananchi waliojitokeza kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya macho iliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya Msoga, Chalinze
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Peter Msoffe akitembelea banda la Taasisi ya Dawa Asilia kujionea bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na Taasisi hiyo wakati wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika chuoni MUHAS
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Peter Msoffe pamoja na uongozi wa chuo wakitembelea mabanda ya wabunifu kujionea bunifu mbalimbali wakati wa wiki ya ubunifu
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa salamu za ukaribisho wakati wa Wiki ya Ubunifu iliyofanyika chuoni, MUHAS
Wageni waalikwa katika Wiki ya Ubunifu chuoni MUHAS
Wageni waalikwa wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi katika Wiki ya Ubunifu iliyofanyika Chuoni, MUHAS
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Peter Msoffe akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa chuo na wa bunifu walioshiriki Wiki ya Ubunifu chuoni MUHAS
Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza na Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu akifungua mkutano wa wa 13 wa uwasilishaji wa matokeo ya tafiti katika kukabiliana na changamoto za huduma kwa watu wenye usonji nchini uliyofanyika chuoni MUHAS
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa salamu za ukaribisho katika mkutano wa 13 wa uwasilishaji wa matokeo ya tafiti uliyofanyika chuoni MUHAS
Washiriki wa mkutano wa 13 wa uwasilishaji wa matokeo ya tafiti wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi
Prof. Karim Manji akielezea kitabu alichokiandika kinachohusu masuala ya usonji kabla hakijazinduliwa rasmi
Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukizwa na Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu akikata utepe kama ishara ya kuzindua kitabu hicho rasmi
Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza na Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo- Tafiti na Machapisho, Prof. Bruno Sunguya wakionyesha kitabu hicho baada ya kukizindua rasmi
Jopo la wataalamu wakiwa katika majadiliano ya masuala ya usonji nchini Tanzania
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa taarifa ya ujenzi wa Ndaki ya Tiba, Mloganzila kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kabla ya kuweka jiwe la msingi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na wageni waalikwa wakifurahi baada ya kuweka jiwe la msingi la majengo ya Ndaki ya Tiba katika Kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa hotuba katika Kongamano la kwanza la kumuenzi Mkuu wa Chuo wa kwanza MUHAS, hayati Ali Hassan Mwinyi lililofanyika kampasi ya Mloganzila
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipokea vazi maalum alilokuwa anatumia Mkuu wa Chuo wa Kwanza MUHAS, Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati wa mahafali
Kongamano la kumuenzi aliyekuwa Mkuu wa Chuo wa kwanza na Rais wa Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo wa kwanza MUHAS, Prof. Kisali Palangyo akipokea tuzo ya shukrani kutoka kwa mhe Dkt. Ali Hassan Mwinyi kwa mchango wake mkubwaa katika kukifanikisha chuo
Previous slide
Next slide
STUDY AT MUHAS
- Announcements
- Short Course in Basic Echodardiography
- Consultancy Bootcamp
- Job Opportunity: Project Coordinator
- Job Opportunity: Project Manager and Study Medical Doctors
- Job Opportunity: Research Assistants
- Late Window Applications for Postgraduate Degree Programmes for 2025-2026
- Selected Applicants for Postgraduate Programmes for 20252026
- CRTP-TZ: Call for Applications for PhD Positions
- Advanced Qualitative Research Short Course
- Call for Applications to New Postgraduate Degree Programmes for the Academic Year 2025/2026
- The 25th Ordinary Meeting of the EAC Sectoral Council of Ministries of Health has Approved Establishment of the East Africa Centre of Excellence in Oral Health Sciences at MUHAS, Mloganzila Campus
- Pharmacovigilance and Vigilance Short Course
- CPD Short Course in Oral Radiology
- Short Course on Hepatitis B and C Prevention, Control and Screening of People in High-Risk Areas
- ESIA REPORT- Cardiac Teaching Hospital
- Almanac For SIDA- Supported Short Course
- News
-
Upcoming Conferences
- Upcoming ShortCourse

MAKAMU MKUU WA CHUO AFUNGUA RASMI KAMBI YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA MOYO
Katika juhudi za kuimarisha huduma za afya kwa jamii, kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo, na kuelekea uzinduzi wa awamu ya

KAIMU MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO MUHAS WATEMBELEA MIRADI YA CHUO KAMPASI YA MLOGANZILA
Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS) Bi. Marsha Macatta- Yambi

WAZIRI WA ELIMU AZINDUA MRADI WA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KITUO CHA UMAHIRI CHA MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU- KAMPASI YA MLOGANZILA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amezindua rasmi Awamu ya Pili ya Mradi wa Kituo
- Frequently Downloads
- SSL VPN Request Form
- East Africa’s Centres of Excellence in Skills and Tertiary Education in Biomedical Sciences Project Phase II Project ESMP mandatorily annexed to the Financing Agreement FA.
- ESIA REPORT- CARDIAC TEACHING HOSPITAL
Environmental and Social Impact Assessment Report For Kigoma Campus(ESIA Report)
- Environmental and Social Impact Assessment Report For Mloganzila Campus(ESIA Report)
- Trip Authority Form
- The Amne Salim Covid-19 Research Fund Dissemination Symposium
- MUHAS Research Excellence Award Guidelines
- Payee Registration
- Imprest Form
- Petty Cash Form
- Procurement Form
- Kanuni Za Bunge
- Annual Report
- Prospectus, ByLaws & Guidelines
- Policies & Plan Documents
- MUHAS News Letter
- Local Travel Form
- Research Integrity&Conflict Of Interest Guidelines
- Student Assessment Book