Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza na Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu akifungua mkutano wa wa 13 wa uwasilishaji wa matokeo ya tafiti katika kukabiliana na changamoto za huduma kwa watu wenye usonji nchini uliyofanyika chuoni MUHAS
Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa salamu za ukaribisho katika mkutano wa 13 wa uwasilishaji wa matokeo ya tafiti uliyofanyika chuoni MUHAS
Washiriki wa mkutano wa 13 wa uwasilishaji wa matokeo ya tafiti wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi
Prof. Karim Manji akielezea kitabu alichokiandika kinachohusu masuala ya usonji kabla hakijazinduliwa rasmi
Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukizwa na Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu akikata utepe kama ishara ya kuzindua kitabu hicho rasmi
Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza na Afya ya Akili kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo- Tafiti na Machapisho, Prof. Bruno Sunguya wakionyesha kitabu hicho baada ya kukizindua rasmi
Jopo la wataalamu wakiwa katika majadiliano ya masuala ya usonji nchini Tanzania
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa taarifa ya ujenzi wa Ndaki ya Tiba, Mloganzila kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kabla ya kuweka jiwe la msingi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na wageni waalikwa wakifurahi baada ya kuweka jiwe la msingi la majengo ya Ndaki ya Tiba katika Kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa hotuba katika Kongamano la kwanza la kumuenzi Mkuu wa Chuo wa kwanza MUHAS, hayati Ali Hassan Mwinyi lililofanyika kampasi ya Mloganzila
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipokea vazi maalum alilokuwa anatumia Mkuu wa Chuo wa Kwanza MUHAS, Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati wa mahafali
Kongamano la kumuenzi aliyekuwa Mkuu wa Chuo wa kwanza na Rais wa Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Wageni waalikwa katika kongamano la kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi lilofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo wa kwanza MUHAS, Prof. Kisali Palangyo akipokea tuzo ya shukrani kutoka kwa mhe Dkt. Ali Hassan Mwinyi kwa mchango wake mkubwaa katika kukifanikisha chuo
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akifungua kambi maalum ya upimaji ya afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Mtaalamu wa kutoka MUHAS akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza katika kambi ya upimaji wa afya bure iliyofanyika katika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akiongea na wananchi waliojitokeza katika kambi ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Mwananchi akipata huduma ya uchunguzi wa macho katika kampasi ya Mloganzila
Mtaalamu kutoka MUHAS akitoa huduma ya uchunguzi wa meno kwa wananchi wakati wa kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo akiangalia huduma zinavyotolewa wakati wa ufunguzi wa kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi,Dkt. Ferdinand Machibya akitoa hotuba yake wakati wa ufunfuzi wa kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika kampasi ya Mloganzila
Wananchi waliojitokeza katika kambi maalum ya upimaji wa afya bure iliyofanyika Mloganzila
Previous slide
Next slide
STUDY AT MUHAS
- Announcements
- Career Opportunity: EN_REACH-ED Project Study
- Grant Writing Bootcamp
- Career Opportunity EN_REACH-ED Study_2025
- Basic Qualitative Research Course
- Short Course on Research Ethics
- Workshop: The Open Access Publishing: Strategies to Spot and Avoid Predatory Journals
- ESIA REPORT- Cardiac Teaching Hospital
- Almanac For SIDA- Supported Short Course
- News
-
Upcoming Conferences
- Upcoming ShortCourse

MUHAS YAPOKEA GARI KURAHISISHA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa

VICE PRESIDENT IMPRESSED BY MUHAS KIGOMA CAMPUS DESIGNS
The Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango, commended the Muhimbili University of Health

WABUNIFU KUTOKA MUHAS WAPATIWA ELIMU KUHUSU HAKI MILIKI ZA BUNIFU ZAO
Wabunifu kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) wamepatiwa mafunzo kuhusu umuhimu wa kulinda maslahi ya bunifu
- Frequently Downloads
- SSL VPN Request Form
- East Africa’s Centres of Excellence in Skills and Tertiary Education in Biomedical Sciences Project Phase II Project ESMP mandatorily annexed to the Financing Agreement FA.
- ESIA REPORT- CARDIAC TEACHING HOSPITAL
Environmental and Social Impact Assessment Report For Kigoma Campus(ESIA Report)
- Environmental and Social Impact Assessment Report For Mloganzila Campus(ESIA Report)
- Trip Authority Form
- The Amne Salim Covid-19 Research Fund Dissemination Symposium
- MUHAS Research Excellence Award Guidelines
- Payee Registration
- Imprest Form
- Petty Cash Form
- Procurement Form
- Kanuni Za Bunge
- Annual Report
- Prospectus, ByLaws & Guidelines
- Policies & Plan Documents
- MUHAS News Letter
- Local Travel Form
- Research Integrity&Conflict Of Interest Guidelines
- Student Assessment Book