Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe. Salum Kali akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Hassan Rugwa , Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa na watumishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa mara baada ya hafla ya kusaini mkataba na Mshauri Mwelekezi.
Mkurugezi Shirika la Uratibu na Ushirikiano la Uturuki ( TIKA) akimkabidhi vifaa kwa ajili ya mafunzo ya huduma za dharura wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Prof. Appolinary Kamuhabwa akimkabidhi rasmi site Mshauri Mwelekezi Bw. Oswald Modu kutoka kampuni ya OGM Consultant kwa ajili ya kuanza rasmi zoezi la kuandaa michoro sanifu na usimamizi wa ujenzi wa Chuo Kampasi ya Mloganzila
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Prof . Appolinary Kamuhabwa na Mshauri Mwelekezi kutoka Kampuni ya OGM Consultant, Bw. Oswald Modu wakisaini mkataba wa michoro sanifu na usimamizi wa ujenzi wa Chuo Kampasi ya Kigoma.
Mkuu wa Idara ya Magonjwa na Ajali MUHAS, Dkt. Said Kilindimo akitoa maelezo kwa mgeni rasmi wakati alipotembelea kwenye maonesho ya vifaa va kutumia wakati wa huduma za dharura na ajali.
Previous slide
Next slide
STUDY AT MUHAS
- Announcements
- Senior Education and Disability Coordinator

- External Rotations at Hospital and Other Facilities
- Short Course Announcement: Introduction on Approaches to Clinical Research Designing, Operational Planning, Conducting and Reporting During Drug Development
- Executive Manuscript Bootcamp for MUHAS Academic Faculty
- Short Course on Quality Assurance and Quality Control of Herbal Products Level III
- Short Course Training in Traditional Medicine Development Level II
- Mafunzo ya Muda Mfupi ya Uendelezaji wa Dawa za Asili ( Ngazi ya I)
- Basic Critical Care and Basic Emergency Care for Health Professional
- Global Gene Therapy Training








