MUHAS HEET PIU YAFANYA MAPITIO YA MWAKA YA UTEKELEZAJI WA MRADI

    Kitengo cha utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET PIU) cha Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimefanya Kikao Kazi cha mapitio ya mwaka ya utekelezaji wa mradi (Annual Project Implementation Review Workshop) tarehe 20 – 24 Mei, 2024, Morogoro. Katika ufunguzi wa Kikao Kazi […]

KAMATI YA DAWATI LA UKATILI WA JINSIA MUHAS YAPATIWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO

        MUHAS kupitia mradi wa HEET imeandaa warsha ya siku tano ya mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo Mratibu na wajumbe wa kamati ya dawati la Ukatili wa Kijinsia (Gender Based Violence – GBV Desk) wa kusimamia na kusaidia uanzishaji na uendeshaji wa dawati la Jinsia la Taasisi ya Elimu ya Juu. […]