MHE. BALOZI MBERWA KAIRUKI NA WADAU WATEMBELEA MUHAS KUJADILI UWEKEZAJI MLOGANZILA

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimepokea wageni wa heshima kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza akiwemo Mhe. Balozi Mbelwa Kairuki; Mkurugenzi Mtendaji wa Mkapa Foundation, Dkt. Ellen Mkondya; na Mkadiriaji Gharama za Majenzi kutoka Kampuni ya IP Group, Bw. Issack Peter. Wageni hao walitembelea chuo kwa lengo […]
VIONGOZI WA MUHASSO WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NDAKI YA TIBA MLOGANZILA

Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHASSO) kimefanya ziara maalumu ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa Ndaki ya Tiba unaoendelea katika Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Ziara hiyo iliratibiwa na Dkt. Hussein Mohhamed kutoka Kitengo cha Mazingira […]
MUHAS KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA FACT MISSION YA UJERUMANI KUWEZESHA WANAFUNZI WA KIKE WENYE UHITAJI MAALUM KUSOMEA FANI ZA UPASUAJI

Chuo kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kushirikiana na Taasisi kutoka Ujerumani Fact Finding Mission wamekutana na kufanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia vijana wa kike wenye mahitaji maalumu kuweza kusomea taaluma mbalimbali za upasuaji yaani (surgery). Lengo la Kikao hicho kilikuwa ni kujadili maeneo ya […]
TIMU YA WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA ELIMU YAVUTIWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA NDAKI YA TIBA MLOGANZILA

Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetembelea eneo la ujenzi wa Ndaki ya Tiba katika Kampasi ya Mloganzila, ikiwa ni sehemu ya kufuatilia maendeleo ya mradi huo mkubwa wa kitaifa wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET ). Ziara hiyo ililenga kukagua […]

The MUHAS Vice Chancellor, Prof. Appolinary Kamuhabwa, officially opened a special health camp that provided free medical services to Tanzanian citizens as part of the activities leading up to the laying of the foundation stone for the construction of the College of Medicine under the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project. At the […]
MUHAS HEET TEAM MEETS UBUNGO DISTRICT COMMISSIONER AHEAD OF FOUNDATION STONE CEREMONY

On February 21, 2025, the Deputy Coordinator of the MUHAS HEET Project, accompanied by members of the Project Implementation Unit, paid a courtesy visit to the newly appointed Ubungo District Commissioner, Hon. Lazaro Twange. The purpose of the visit was to brief him on the ongoing construction of the College of Medicine at the […]