TIMU YA ESIA MRADI WA HEET MUHAS WAFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA KATA YA KWEMBE MLOGANZILA KUHAMASISHA USHIRIKI KATIKA KAMBI YA UPIMAJI AFYA BURE

Kitengo cha Mazingira na Ustawi wa Jamii (ESIA) kupitia mradi wa HEET MUHAS kimefanya mkutano na viongozi wa kata ya Kwembe iliyowajumuisha wajumbe kamati ya maendeleo, wataalamu ndani ya kata, watendaji wa mitaa, […]
MUHAS AND UNIVERSITY OF MINNESOTA TO CONDUCT A FIVE-YEAR PROJECT TRAINING HEALTH CARE PROFESSIONALS FOCUSING ON SEXUAL AND REPRODUCTIVE HEALTH IN TANZANIA

On 20th February 2025, The Acting MUHAS Vice Chancellor, Prof. Bruno Sunguya together with Prof. Jennifer Connor from the Institute for Sexual and Gender Health at University of Minnesota (UMN) and Dr. Agness Massae from School of Nursing at MUHAS had a Introduction meeting of a five-year project […]
MUHAS KIGOMA CAMPUS CONSTRUCTION PROGRESS REVIEWED IN SITE MANAGEMENT MEETING

On January 7, 2025, MUHAS held a site management meeting to review the progress of the ongoing construction of its Kigoma Campus. The meeting was chaired by the Vice Chancellor, Prof. Appolinary Kamuhabwa who emphasized the importance of adhering to the original project timeline and ensuring compliance with all contractual obligations. […]
MKUU WA CHUO ATEMBELEA MUHAS

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. David Mwakyusa, ametembelea MUHAS kwa lengo la kujitambulisha na kufahamiana na uongozi wa Chuo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushika wadhifa huo mnamo Novemba 27, 2024. Katika ziara […]
MUHAS YAPOKEA GARI LA PILI KUWEZESHA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) kimepokea gari la pili la aina ya Coaster kati ya magari manne yatakayo nunuliwa na mradi wa HEET kwa lengo la kurahisisha utekelezaji wa shughuli za mradi huo […]
MUHAS YAPOKEA GARI KURAHISISHA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) kimepokea gari la kwanza la aina ya Land Cruiser Hardtop kati ya magari manne yatakayo nunuliwa na mradi wa HEET kwa lengo la kurahisisha utekelezaji wa shughuli za […]