MAKAMU MKUU WA CHUO AFUNGUA RASMI KAMBI YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA MOYO

Katika juhudi za kuimarisha huduma za afya kwa jamii, kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo, na kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimefanya ufunguzi rasmi wa Kambi ya Uchunguzi wa […]
KAIMU MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO MUHAS WATEMBELEA MIRADI YA CHUO KAMPASI YA MLOGANZILA

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS) Bi. Marsha Macatta- Yambi pamoja na wajumbe wa Baraza hilo wametembelea miradi ya ujenzi ambayo chuo inaendelea kutekeleza kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Uchumi ( HEET) katika Kampasi ya Mloganzila. […]
WAZIRI WA ELIMU AZINDUA MRADI WA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KITUO CHA UMAHIRI CHA MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU- KAMPASI YA MLOGANZILA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amezindua rasmi Awamu ya Pili ya Mradi wa Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu cha Afrika Mashariki leo katika Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Uzinduzi huu […]