WABUNIFU KUTOKA MUHAS WAPATIWA ELIMU KUHUSU HAKI MILIKI ZA BUNIFU ZAO

          Wabunifu kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) wamepatiwa mafunzo kuhusu umuhimu wa kulinda maslahi ya bunifu zao, kutunza rejista za usajili wa kazi za kibunifu ili kupata uthibitisho wa umiliki ( copy right clearence) na kulinda kazi zao. Akizungumza na wabunifu kutoka MUHAS, Afisa Haki Miliki […]

MUHAS HEET PIU YAFANYA MAPITIO YA MWAKA YA UTEKELEZAJI WA MRADI

    Kitengo cha utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET PIU) cha Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimefanya Kikao Kazi cha mapitio ya mwaka ya utekelezaji wa mradi (Annual Project Implementation Review Workshop) tarehe 20 – 24 Mei, 2024, Morogoro. Katika ufunguzi wa Kikao Kazi […]