MUHAS YACHAPISHA VITABU VIPYA VYA ANATOMIA KUBORESHA UFUNDISHAJI WA UDAKTARI TANZANIA

Katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa vitabu vya tiba na ugumu wa lugha kwa wanafunzi, MUHAS) kwa kushirikiana na Mhadhiri wake, Prof. David Ngasapa, wamechapisha vitabu vya anatomia ili kuboresha uelewa wa wanafunzi na kuwawezesha kufanya rejea wanapokuwa kwenye mafunzo ya kliniki. Akizungumza na waandishi wa habari […]
ADVANCING HEALTH INNOVATION FOR NATIONAL TRANSFORMATION: MUHAS HOSTS THE SUMMIT OF THE SECOND INNOVATION WEEK

The Second Innovation Week Summit at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), held on 27 February 2026, marked a defining moment for Tanzania’s healthcare innovation journey. Under the theme “Advancing Innovation in Healthcare: Nurturing, Connecting and Protecting Solutions for Better Health,” the event brought together government leaders, academics, innovators, […]
MUHAS YAANZA UTEKELEZAJI WA AWAMU YA PILI WA MRADI WA KITUO CHA UMAHIRI WA MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU CHA AFRIKA MASHARIKI MLOGANZILA

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeingia rasmi katika awamu ya pili ya utekelezaji wa Kituo cha Umahiri cha Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu kilichopo Mloganzila, Dar es Salaam. Akifungua kikao cha kwanza cha Kamati ya uendeshaji ya Mradi wa awamu hii ya pili, Katibu Mkuu […]
KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ATEMBELEA KITUO CHA UMAHIRI WA MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU– MLOGANZILA, AJIONEA VIFAA VYA KISASA NA TEKNOLOJIA YA AKILI MNEMBE (AI)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo amefanya ziara katika Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kilichopo Kampasi ya Mloganzila na kujionea uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kufundishia vya kisasa na matumizi ya […]
APPLICATION FOR ADMISSION INTO DEGREE AND DIPLOMA PROGRAMMES OFFERD BY MUHAS ACADEMIC YEAR 2025/2026
The Deputy Vice Chancellor – Academic of Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) invites suitably qualified candidates for admission into various Degree and Diploma programmes for the academic year 2025/2026 Click here to read more Click here to read more on entry requirements for Bachelor Programmes Click here to read more on entry […]
KAIMU MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO MUHAS WATEMBELEA MIRADI YA CHUO KAMPASI YA MLOGANZILA

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS) Bi. Marsha Macatta- Yambi pamoja na wajumbe wa Baraza hilo wametembelea miradi ya ujenzi ambayo chuo inaendelea kutekeleza kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Uchumi ( HEET) katika Kampasi ya Mloganzila. […]