MKUU WA MKOA TANGA APONGEZA UBUNIFU WA WANAFUNZI NA WATAFITI WA MUHAS

MKUU WA MKOA TANGA APONGEZA UBUNIFU WA WANAFUNZI NA WATAFITI WA MUHAS Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani amepongeza na kuonesha kufurahishwa na bunifu zinazotengenezwa na wanafunzi na watafiti wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), zinazowasilishwa katika maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayofanyika […]