WAZIRI MKENDA APONGEZA MCHANGO WA MUHAS KATIKA TAFITI ZA AFYA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amefungua rasmi Kongamano la 14 la Kisayansi la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), linalofanyika Kampasi ya Mloganzila kuanzia Julai 1–3, 2026, na kusisitiza kuwa tafiti ni msingi wa maendeleo ya elimu ya juu na kuboresha huduma za afya. Prof. Mkenda aliipongeza MUHAS […]

14th MUHAS SCIENTIFIC CONFERENCE 1st - 3rd July 2026