MHE. BALOZI MBERWA KAIRUKI NA WADAU WATEMBELEA MUHAS KUJADILI UWEKEZAJI MLOGANZILA

        Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimepokea wageni wa heshima kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza akiwemo Mhe. Balozi Mbelwa Kairuki; Mkurugenzi Mtendaji wa Mkapa Foundation, Dkt. Ellen Mkondya; na Mkadiriaji Gharama za Majenzi kutoka Kampuni ya IP Group, Bw. Issack Peter. Wageni hao walitembelea chuo kwa lengo […]