VIONGOZI WA MUHASSO WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NDAKI YA TIBA MLOGANZILA

    Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHASSO) kimefanya ziara maalumu ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa Ndaki ya Tiba unaoendelea katika Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Ziara hiyo iliratibiwa na Dkt. Hussein Mohhamed kutoka Kitengo cha Mazingira […]