TIMU YA ESIA MRADI WA HEET MUHAS WAFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA KATA YA KWEMBE MLOGANZILA KUHAMASISHA USHIRIKI KATIKA KAMBI YA UPIMAJI AFYA BURE

Kitengo cha Mazingira na Ustawi wa Jamii (ESIA) kupitia mradi wa HEET MUHAS kimefanya mkutano na viongozi wa kata ya Kwembe iliyowajumuisha wajumbe kamati ya maendeleo, wataalamu ndani ya kata, watendaji wa mitaa, […]