MUHAS YAPOKEA GARI LA PILI KUWEZESHA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) kimepokea gari la pili la aina ya Coaster kati ya magari manne yatakayo nunuliwa na mradi wa HEET kwa lengo la kurahisisha utekelezaji wa shughuli za mradi huo […]