MUHAS YAPOKEA GARI KURAHISISHA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET

          Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) kimepokea gari la kwanza la aina ya Land Cruiser Hardtop kati ya magari manne yatakayo nunuliwa na mradi wa HEET kwa lengo la kurahisisha utekelezaji wa shughuli za […]