KAMATI YA DAWATI LA UKATILI WA JINSIA MUHAS YAPATIWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO

        MUHAS kupitia mradi wa HEET imeandaa warsha ya siku tano ya mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo Mratibu na wajumbe wa kamati ya dawati la Ukatili wa Kijinsia (Gender Based Violence – GBV Desk) wa kusimamia na kusaidia uanzishaji na uendeshaji wa dawati la Jinsia la Taasisi ya Elimu ya Juu. […]