UTIAJI SAINI MKATABA WA KUANDAA USANIFU NA USIMAMIZI WA UJENZI WA MAJENGO NA MIUNDOMBINU KATIKA KAMPASI YA MLOGANZILA
Katika mwendelezo wa utekelezaji wa mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi “HEET – Project” Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili kimesaini mkataba na Kampuni ya ARQES AFRICA kwa ajili ya kuandaa usanifu na usimamizi wa ujenzi wa majengo na miundombinu katika kampasi ya Mloganzila . 15 Desemba 2023