Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) kimepokea gari la pili la aina ya Coaster kati ya magari manne yatakayo nunuliwa na mradi wa HEET kwa lengo la kurahisisha utekelezaji
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika utekelezaji wa maeneo saba ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) kimepokea gari la kwanza la aina ya Land Cruiser Hardtop kati ya magari manne yatakayo nunuliwa na mradi wa HEET kwa lengo la
The Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango, commended the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) for their excellent preparatory work towards the construction of the MUHAS Kigoma Campus under the Higher Education for Economic Transformation (HEET)
Wabunifu kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) wamepatiwa mafunzo kuhusu umuhimu wa kulinda maslahi ya bunifu zao, kutunza rejista za usajili wa kazi za kibunifu ili kupata uthibitisho wa umiliki ( copy right clearence) na kulinda kazi zao. Akizungumza na wabunifu
Kitengo cha utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET PIU) cha Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimefanya Kikao Kazi cha mapitio ya mwaka ya utekelezaji wa mradi (Annual Project Implementation Review Workshop) tarehe 20 – 24 Mei, 2024, Morogoro.
MUHAS kupitia mradi wa HEET imeandaa warsha ya siku tano ya mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo Mratibu na wajumbe wa kamati ya dawati la Ukatili wa Kijinsia (Gender Based Violence – GBV Desk) wa kusimamia na kusaidia uanzishaji na uendeshaji wa dawati la Jinsia la