KATIBU MTENDAJI TCU ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU YA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI MUHAS

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, ameonesha kuridhishwa na maendeleo makubwa ya miundombinu ya ufundishaji na ujifunzaji katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), huku pia akikipongeza chuo kwa juhudi zake […]