MUHAS YACHAPISHA VITABU VIPYA VYA ANATOMIA KUBORESHA UFUNDISHAJI WA UDAKTARI TANZANIA

Katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa vitabu vya tiba na ugumu wa lugha kwa wanafunzi, MUHAS) kwa kushirikiana na Mhadhiri wake, Prof. David Ngasapa, wamechapisha vitabu vya anatomia ili kuboresha uelewa wa wanafunzi na kuwawezesha kufanya rejea wanapokuwa kwenye mafunzo ya kliniki. Akizungumza na waandishi wa habari […]
MUHAS YAANDAA KONGAMANO LA KISAYANSI LA MAGONJWA ADIMU: ” MAGONJWA ADIMU: ZAIDI UNAVYOWEZA KUFIKIRIA”

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimefanya Kongamano la Kisayansi la Magonjwa Adimu tarehe 4 Machi 2026 likiwa na kaulimbiu isemayo “Magonjwa Adimu: Zaidi ya Unavyoweza Kufikiria”. Kongamano hilo limewakutanisha wataalamu wa afya, watafiti, watunga sera, wawakilishi wa wagonjwa pamoja na wadau mbalimbali kujadili changamoto na fursa zilizopo katika kushughulikia […]
ADVANCING HEALTH INNOVATION FOR NATIONAL TRANSFORMATION: MUHAS HOSTS THE SUMMIT OF THE SECOND INNOVATION WEEK

The Second Innovation Week Summit at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), held on 27 February 2026, marked a defining moment for Tanzania’s healthcare innovation journey. Under the theme “Advancing Innovation in Healthcare: Nurturing, Connecting and Protecting Solutions for Better Health,” the event brought together government leaders, academics, innovators, […]