Semina ya Muongozo wa Fani ya Afya na Sayanshi Shirikishi kwa Wanafunzi wa PCB na PCM
Mkuu wa Kitengo cha Jinsia MUHAS, Dkt. Hawa Mbawala akitoa semina ya fani za masomo ya sayansi kwa wanafunzi wa kike wanaosoma mchepuo wa sayansiMkuu wa Kitengo cha Udahili MUHAS, Bi. Renista Mkoba akiongelea programu zinazotolewa MUHAS na vigezo vyakeWanafunzi wakisikiliza mafunzo wakati wa semina iliyofanyika chuoni MUHASWanafunzi wakisikiliza mafunzo wakati wa semina iliyofanyika chuoni MUHASWanafunzi wakisikiliza mafunzo wakati wa semina iliyofanyika chuoni MUHASAfisa Mwandamizi Tehama, Andrwe Katemi akitoa mada kuhusu TEHAMAMwanafunzi akiuliza swali wakati wa semina ya mwongozo wa fani ya afya na sayanshi shirikikishiMwanafunzi akiuliza swali wakati wa semina ya mwongozo wa fani ya afya na sayanshi shirikikishiWanafunzi wakipata chakula cha mchana baada ya semina ya fani ya afya na sayansi shirikishi iliyofanyika chuoni, MUHASWanafunzi wakipata chakula cha mchana baada ya semina ya fani ya afya na sayansi shirikishi iliyofanyika chuoni, MUHAS
Mahafali ya 16 ya MUHAS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na uongozi wa MUHAS wakiwa kwenye maandamano kuelekea kwenye uwanja wa mahafali maandamano ya mahafli ya 16 ya MUHASMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akimtunuku mmoja wa wahitimu ngazi ya uzamivuwahitimu wakila viapo katika mahali ya 16wahitimu wa mahafali ya 16 ya MUHASwahitimu wa mahafali ya 16 ya MUHASwahitimu wa mahafali ya 16 ya MUHASMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa kwenye picha ya pamoja na viongzo wa serikali, viongozi wa MUHAS mara baada ya sherehe za mahali ya 16 ya MUHAS
Watumishi wa MUHAS Wasisitizwa Kujikinga na Kuchukua Tahadhari ya Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi
Muhimbili University Reunion Fun Run
MUHAS Digital Week
The 4th National Non Communicable Diseases Scientific Conference Malaika Beach, Mwanza Region
Post Graduate Orientation Day
A delegation from Uganda Christian University (UCU), Dean School of Dentistry paid a courtesy call to MUHAS VC, Prof Andrea Pembe with their host Dr. Matilda Mtaya, Dean School of Dentistry as they are endeavoring in becoming a well established Dental School
Wanawake wa MUHAS katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa MUHAS Watoa msaada kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Watumishi wa MUHAS wakipatiwa mafunzo ya UKIMWI na Magonjwa Sugu yasiyoambukiza mahali pa kazi na wawezeshaji kutoka TACAIDS, na Ofisi ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
The Education Collaborative Team from the University of Ashesi in Ghana visited at MUHAS to discuss the potential collaborative areas in research, training as well as faculty and students exchange
Mwenyekiti na Wajumbe wa Baraza la Chuo , MUHAS, Dkt. wakiwa kwenye mafunzo elekezi yanayotolewa na taasisi ya Uongozi kwa siku mbili
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua kongamano la kusambaza matokeo ya tafiti za Uviko 19 zilizofanywa na watafiti kutoka MUHAS kwa udhamini wa familia ya Amne Salim