skip to Main Content
P.O. Box 65001, MUHAS,Dar es Salaam webmaster@muhas.ac.tz 0752360543 / 0756265177 - Admission Office

Wanawake wa MUHAS wamepatiwa Mafunzo ya Ujasiriamali

23 Aprili 2021 Wanawake wa MUHAS wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali ili kupata elimu ya kuweza kuanza ujasiriamali kwa ambao hawajaanza na kwa walioanza kukuza biashara zao zaidi. Mafunzo hayo yametolewa na mtaalamu wa ujasiriamali kutoka Kampuni ya ENSOL Limited, Bw.…

Read More
Back To Top