MRADI WA HEET MUHAS WATEMBELEWA NA OFISI YA MKAGUZI WA NDANI ZANZIBAR
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa HEET MUHAS wakiwa katika picha ya pamoja na wakaguzi kutoka OCAGZ baada ya kikao kujadili masuala mbalimbali ya utekelezaji wa mradi wa HEET