MUHAS YAWAPONGEZA VIONGOZI WA DATA ZA UANISHAJI WA UBORA WA VYUO VIKUU
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Appolinary Kamuhabwa (katikati), Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Emmanuel Balandya (kushoto) na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Erasto Mbugi (kulia) wakiwa katika picha ya Pamoja na Prof. Eligius Lyamuya na Dkt. Rehema Chande Mallya mara baada ya kukabidhiwa tuzo zao.