WAZIRI WA ELIMU ASISITIZA KUZINGATIWA KWA UWAZI NA HAKI KWENYE SAMIA SCHOLARSHIP
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenknolojia, Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu, Prof. Carolyne Nombo na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo (haonekani pichani) wakiwa wanajadiliana ofisini kabla ya kufanya mazungumzo na waandishi wa habari kuhusu Samia Scholarship yaliyofanyika chuoni, MUHAS Kaimu…