MUHAS WASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UBUNIFU KITAIFA MKOANI DODOMA.
Matukio katika Picha: Wananchi wakijione bunifu mbalimbali zilizofanywa na wataalamu kutoka MUHAS kwenye Maonesho ya Wiki ya Ubunifu katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Chuo Kikuu cha Afya na Sayanshi Shirikishi., Muhimbili washiriki Maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa yalioandaliwa na…