skip to Main Content
P.O. Box 65001, MUHAS,Dar es Salaam webmaster@muhas.ac.tz 0752360543 / 0756265177 - Admission Office
Wanawake wa MUHAS wakiwa kwenye maandamano kuelelea katika ukumbi wa Lecture hall 4 kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani
Wanawake wa MUHAS wakicheza pamoja wakati wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani chuoni hapo
Wanawake wa MUHAS wakicheza pamoja wakati wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika chuoni hapo
Mkuu wa Kitengo cha Jinsia MUHAS, Dkt. Hawa Mbawala akiwakaribisha wanawake wa MUHAS wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Chuoni hapo.
Wanawake wa MUHAS wakifatilia hotuba inayotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Jinsia,MUHAS
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Bruno Sunguya akitoa hotuba yake wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa MUHAS wakitifatilia hotuba ya Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, MUHAS.

Mgeni rasmi, mhe . Dkt Paulina Nahota(MB) akihutumia wanawake wa MUHAS kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika chuoni hapo

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo na Mkuu wa Kitengo cha Jinsia wakikata keki wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Bruno Sunguya akitoa tuzo maalum kwa Prof, Julie Makani iliyopokelewa na Dkt. Khadija Malima wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Bruno Sunguya akitoa tuzo maalum kwa Mhe. Dkt. Paulina Nahota (MB) wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Bi. Gerwalda Luoga akipokea tuzo maalumu kwa niaba ya Bi. Sabihuna Mmweteni wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa MUHAS wakiwa kwenye picha ya pamoja na wageni rasmi wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani