Kitengo cha Programu ya Jinsia wamefanya semina ya muongozo wa fani ya afya na sayansi shirikishi kwa wanafunzi wa PCB na PCM
Watoa mada wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa shule za sekondari wanaosoma mchepuo wa PCB na PCM wakati wa semina ya muongozo wa fani ya afya na sayansi shirikishi iliyofanyika chuoni, MUHAS