Kitengo cha Programu ya Jinsia wamefanya Semina ya Mwongozo wa fani za afya na Sayansi Shirikishi
MUHAS kupitia kitengo cha Programu ya Jinsia ( Gender Program Unit) wamefanya semina ya mwongozo wa fani za afya na Sayansi Shirikishi kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari wilaya ya Ilala. Kupitia semina hiyo wanafunzi waliwenza kupata fursa…