JKCI kwa kushirikiana na MUHAS-Chuo yaanzisha kliniki maaluma kwa wagonjwa wa Sikoseli wanaokabiliwa na magonjwa ya moyo
Mwakilishi wa Mganga mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Ayoub Kibao,Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi naMkuu wa Idara ya Tiba wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ambaye…