Majina ya watakaopewa cheti cha umiliki kiwanja

Hii ni kuwafahamisha kuwa majina ya wanachama yaliyoorodheshwa watapewa cheti kitakachothibitisha umiliki wake ili kutoa nafasi ya kukiendeleza. Cheti kitatolewa siku ya Ijumaa tarehe 19 Mei, 2017 kuanzia saa 7:00 mchana katika ofisi ya THTU. Bonyeza link kuweza kuona majina; Viwanja Vikubwa na Viwanja vidogo.

Angalizo:
1. Utapewa cheti ikiwa umemaliza malipo yote kwa kulipia katika akaunti ya THTU MUHAS.
 Akaunti Namba: 20902300018
 Jina la Akaunti: Tanzania Higher Learning Institutions
2. Kama bado haujamalizia, unashauriwa kwenda kulipa kwenye akaunti tajwa hapo juu.
3. Kwa wale ambao walilipia kiwanja na jina halionekani, Tafadhali wasiliana na Katibu, Emeliana Mbwiga - 0762315005

Imeandaliwa na:
Bi E. Mbwiga
Katibu-THTU MUHAS


Loading ...