Majina ya watakaokabidhiwa Viwanja Kigamboni

Hii ni kuwafahamisha kuwa majina ambayo yameorodheshwa hapo kwenye kiambatanisho watakabidhiwa cheti cha kumiliki kiwanja na ofisi ya THTU tawi la MUHAS. Kama umelipia pesa yote, tafadhali unaombwa kufika ofisi ya THTU au kwa Dada Jamila Kiluwasha MPL kuanzia tarehe 4 - 6 Januari, 2017 saa nne asubuhi (4:00) kuchukua document zako za kiwanja. Kama hujamaliza kulipia tafadhari malizia malipo ili ukabidhiwe, hatakabidhiwa kiwanja mtu yeyote ambaye hajakamilisha malipo. LIPA BENKI YA NMB. Bonyeza hapa kuona majina.
Loading ...